Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuingia eneo la Halmashauri ya Mji Newala Tarehe 16/5/2017. Watu wote tunapaswa kuhudhuria katika kuupokea. Mwenge wa Uhuru utazindua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyo katika Halmashauri ya Mji Newala.
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa