Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji Newala anawajulisha waombaji wa nafasi za ajira za muda za Sensa za Watu na Makazi kuwa usaili wa Karani wa Sensa na Msimamizi wa Maudhui utafanyia Tarehe 20/7/2022 Saa 2:00 Asubuhi na Usaili wa Msimamizi wa Maudhui utafanyika Tarehe 21/7/2022 Saa 2:00 Asubuhi Ofisi ya Halmashauri ya Mji.
Fika na cheti halisi cha kidato cha nne (Original Certificate) na moja kati ya vitambulisho vifuatavyo Kitambulisho a NIDA, Kadi ya Mpiga kura, Leseni ya Udereva, Kadi ya Bima ya Afya au Hati ya kusafiria.
Kupata majina ya walioitwa kwenye usaili bonyeza maandishi ya bluuMAOMBI YA SENSA.pdf
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa