• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Newala Town Council
Newala Town Council

Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi, Maliasili na Mipango Miji
      • Kazi
      • Usafi na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maktaba ya picha

Dkt. Grace Magembe aridhishwa na hatua za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Nambunga

Posted on: July 28th, 2022

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya Dkt. Grace Magembe ameridhishwa na hatua za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Nambunga kilichopo Kata ya Mnekachi Halmashauri ya Mji Newala na kuwaomba wahandisi kuhakikisha wanamaliza ujenzi kwa wakati.

Dkt. Magembe amesema hayo Julai 27, 2022 alipotembelea mradi huo kujionea hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa kituo hicho ambapo amepongeza na kuwataka wasimamizi kundeleza juhudi zilizowekwa tangu mwanzo ziweze kukamilisha mradi kwa kuwa fedha za kukamilisha kazi yote zilishatolewa  na Mheshimiwa Rais kwa ajili ya kukamilisha kazi hiyo.

Katika hatua nyingine amemuagiza Mganga Mkuu wa Halamshauri kuhakikisha eneo linaliotekelezwa mradi huo linapimwa na kupatiwa hati ya umiliki kwa lengo la kuepusha migogoro inayoyeweza kujitokeza baadae na iweze kusaidia upangiliaji mzuri wa majengo kutokana na eneo lililopo.

Kwa uapande wake Mganga MKuu wa halmashauri hiyo Dkt. Joseph Fwoma amesema fedha zinazotekeleza mradi huo ni jumla ya shilingi milioni 690 ambazo zimetolewa na seriakali kuu kupitia tozo za miamala ya simu shilingi milioni 600 kwa ajili ya majengo ya wagonjwa wa nje (OPD), maabara, jengo la wodi ya kujifungulia na upasuaji, jengo la kufulia, jengo la kumpumzikia wagonjwa pamoja na kichomea taka na shilingi milioni 90 ruzuku ya serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mtumishi.

Dkt. Fwoma amesema kituo hicho kinatarajia kuhudumia zaidi ya watu elfu 29 wa kata hiyo na kata jirani kwa huduma za wagonjwa nje, wagonjwa wa ndani na huduma za upasuaji pamoja na kusaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa kwenye hospitali ya wilaya.

Sambamba na hilo Dkt. Fwoma ameishukuru serikali kwa kuipangatia Halamshauri ya Mji Newala fedha za kutekeleza miradi ya afya kujenga vituo viwili Nambunga na Nanguruwe ukarabati na ujenzi wa majengo mapya katika hospitali ya wilaya ya Newala, dawa pamoja na vifaa tiba.

Dkt. Magembe yupo mkoani mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi kutembelea halmashauri zote kukagua na kuona utekelezaji wa shughuli mbalimbali katika sekta afya na akiwa wilayani Newala ametembelea mradi wa kituo cha Afya Nambunga.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI MAKARANI WA SENSA, MSIMAMIZI WA MAUDHUI NA MSIMAMIZI WA TEHAMA July 19, 2022
  • TANGAZO MIKOPO YA VIWANJA NA MATOFALI October 12, 2021
  • TANGAZO NAFASI YA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI January 25, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Viongozi wa dini wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko ya kukomesha ukatili katika jamii

    August 30, 2022
  • Wananchi 558 wa Halmashauri ya mji Newala wamepatiwa chanjo ya UVIKO-19 kwenye kampeni ya Mziki Mnene

    July 29, 2022
  • Dkt. Grace Magembe aridhishwa na hatua za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Nambunga

    July 28, 2022
  • Wananchi wa Newala wametakiwa kuchanja chanjo ya UVIKO-19 kujilkinga na hathari za korona

    July 27, 2022
  • Tazama zote

Video

Video nyingine

Kurasa za Haraka

  • Sanitation day
  • Tender
  • Uhuru torch

Kurasa Mashuhuri

  • Higher Education Students' Loans Board
  • National Examinations Council of Tanzania
  • Tanzania National Electoral Commission
  • PSPF Pension Fund
  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration and Local Government

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Newala-Mtwara

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 39

    Simu: (+255) 023 2935398

    Mobile: PS (0684439199)

    Barua pepe: info@newalatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Disclaimer
    • Sera ya Faragha
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya eneo la tukio
    • Huduma

Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa