• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Newala Town Council
Newala Town Council

Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi, Maliasili na Mipango Miji
      • Kazi
      • Usafi na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maktaba ya picha

Idara ya Afya yatakiwa kusimamia mpango wa Taifa wa udhibiti malaria

Posted on: May 10th, 2023

Wataalumu wa idara ya afya ya Halmashauri ya Mji Newala wametakiwa kuongeza usimamizi wa mpango wa Taifa wa udhibiti Malaria pamoja na kusimamaia usafi wa mazingira kwa kuwa ugonjwa huo bado unaendelea kuathiri wananchi wengi.

Agizo hilo limetolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa wilaya ya Newala Mhe. Mwangi Rajabu Kundya wakati anaongea na wajumbe wa kikao cha tathmini ya utekelezaji afua za lishe ngazi ya kata, kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Newala.

Mhe. Kundya amesema mpango wa kudhibiti malaria upo lakini haufanyiwi kazi kwani takwimu zinaonesha kwa mwezi Januari hadi Disemba 2023 wagonjwa 47,200 sawa na 28.7% kati ya wagonjwa 164,462 waliofika hospitali walikutwa na vijidudu vya Malaria na hali hiyo sio nzuri.

Ameongeza kuwa ugonjwa huo ni hatari na unazuilika lakini jitihada zinahitajika “jitihada za kuzuia malaria zipo lakini hazisemwi na watu, kuonyesha kwamba wanajali wanajikinga na hili, jitihada za kujikinga na malaria ni ndogo sana, na sasa maji kwa maana ya madimbwi, maeneo mengine mazalia ya mbu hakuna nayeshughulika nayo”. Alieleza Mkuu wa wilaya.

Akizungumzia mara baada ya kikao hicho Mkuu wa Kitengo cha Taka ngumu na usafi wa mazingira Bi. Farida Churi amesema Halmashauri ya Mji Newala imeshaweka mkakati wa kukabiliana na chanagamoto utunzaji mazingira kwa kufanya hamasa na ukaguzi kwenye makazi kuhakikisha watu wanafukia vidimbwi vya maji, kufunika visima na mashimo pamoja na kufyeka nyasi ndefu.

Aidha Churi amefafanua kuwa suala la usafi ni jukumu la kila siku la watu wote hivyo jamii inapaswa kuzingatia ili kuepuka maradhi mbalimbali ikiwemo malaria na magonjwa mengine yanayotokana na uchafu wa mazingira “tushirikiane kwa pamoja katika kuuweka mji safi na kuepukana na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na kuzuia ugonjwa wa malaria.” Ameongeza Churi.

Hata hivyo katika hatua ya kukabiliana na changamoto hiyo amewata viongozi mbalimbali hasa katika ngazi ya vijiji na kata kuwa kitu kimoja ili kufanikisha lengo la Halmashauri la kuhakikisha inaondokana na changamoto ya uchafu wa mazingira.



Matangazo

  • TANGAZO NAFASI YA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI January 25, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III April 14, 2023
  • WITO WA MAFUNZO YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA January 21, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUWA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA MJINI January 14, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Bilioni 21.5 baji ya Mji Newala 2023/2024

    August 04, 2023
  • Tupo nanenane kutoa elimu kwa wananchi itakayobadilisha mitazamo yao kwenye kilimo.

    August 02, 2023
  • Serikali imesema wanawake na vijana wanaweza kukuza kilimo biashara na kuwa endelevu

    August 01, 2023
  • Mkuu wa mkoa Mtwara aridhishwa na utekelezaji wa miradi ya BOOST na ujenzi wa mabweni

    July 29, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyingine

Kurasa za Haraka

  • Sanitation day
  • Tender
  • Uhuru torch

Kurasa Mashuhuri

  • Higher Education Students' Loans Board
  • National Examinations Council of Tanzania
  • Tanzania National Electoral Commission
  • PSPF Pension Fund
  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration and Local Government

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Newala-Mtwara

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 39

    Simu: (+255) 023 2935398

    Mobile: PS (0684439199)

    Barua pepe: info@newalatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Disclaimer
    • Sera ya Faragha
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya eneo la tukio
    • Huduma

Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa