• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Newala Town Council
Newala Town Council

Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi, Maliasili na Mipango Miji
      • Kazi
      • Usafi na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maktaba ya picha

MKUU WA WILAYA YA NEWALA AFUNGUA MAAZIMISHO MIAKA 20 YA SHIRIKA LA ACTIN AID

Posted on: November 24th, 2018

Mkuu wa wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo leo Novemba 24,2018 amefungua Maazimisho ya miaka 20 ya shirika lisilo la kiserikali la Action Aid na kuwataka kuendeleza ushirikiano na jamii pamoja na serikali katika kuboresha huduma na shughuli za kiuchumi kwa wananchi wanaowazunguka.

Ufunguzi wa maazimisho hayo wilayani hapa, umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya  mkuu wa Wilaya ambapo Mhe. Mangosongo amelipongeza shirika hilo katika mambo mbalimbali ya waliyoyafanya ndani ya wilaya.

Aidha Mkuu wa wialaya ameyataja baadhi ya maeneo ambayo shirika hilo wamefanya vizuri kuwa ni  uboreshaji ya miundombinu ya elimu kwa kujenga matundu ya vyoo pamoja na kutoa misaada ya madawati kwenye baadhi ya shule, kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vikundi vya akina mama inayosaidi kufikia malengo katika shughuli zao kama za kubangua korosho na mambo mengine.

 “lakini niwapongeza Action Aid kwa kufungua chombo kinachowasaidia wananchi kutambua na kupata haki zao hasa wananwake, hivyo niwaombe mkitangaze zaidi ili kiwe kimbilio la wanawake kutafuta na kutetea haki zao.” alieleza Mkuu wa wilaya.

Hata hivyo Mhe. Mangosongo amewaomba kuendeleza ushirikiano wao na serikari ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mh: Rais Dr John Pombe Magufuli . na kuendeleza Kauli mbiu ya “HAPA KAZI TU!!!!!!!!” na huku akiwataka wananchi wa Newala kulitumia Shirika hilo katika kujikomboa kwenye nyanja mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi.

Baadhi ya wananchi waliodhuria ufunguzi huo wamesema Action Aid imewapa mafanikio makubwa katika shughuli zao za kila siku huku diwani wa kata ya Mnyambe Mhe. Sauda Rashidi akieleza kuwa Action Aid ndio waliomjengea uwezo na ujasiri mpaka akafikia hatua ya kugombea nafasi hiyo ya udiwani.




Matangazo

  • TANGAZO NAFASI YA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI January 25, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III April 14, 2023
  • WITO WA MAFUNZO YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA January 21, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUWA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA MJINI January 14, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANAUME WAMETAKIWA KUJITOKEZA KUSHIRIKI MASUALA YA AFYA NA LISHE YA MTOTO

    July 02, 2025
  • HOSPITALI YA WILAYA YA NEWALA IMEANZA KUTOA MATIBABU YA VIUNGO KWA NJIA YA MAZOEZI

    July 01, 2025
  • Bilioni 21.5 baji ya Mji Newala 2023/2024

    August 04, 2023
  • Tupo nanenane kutoa elimu kwa wananchi itakayobadilisha mitazamo yao kwenye kilimo.

    August 02, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyingine

Kurasa za Haraka

  • Sanitation day
  • Tender
  • Uhuru torch

Kurasa Mashuhuri

  • Higher Education Students' Loans Board
  • National Examinations Council of Tanzania
  • Tanzania National Electoral Commission
  • PSPF Pension Fund
  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration and Local Government

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Newala-Mtwara

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 39

    Simu: (+255) 023 2935398

    Mobile: PS (0684439199)

    Barua pepe: info@newalatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Disclaimer
    • Sera ya Faragha
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya eneo la tukio
    • Huduma

Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa