Posted on: August 26th, 2025
Zoezi la kuchanja mifugo halmashauri ya Mji Newala linaendelea vizuri ambapo mpaka sasa Mbuzi na Kondoo 1556 wamepatiwa chanjo na sotoka pamoja na Ng’ombe 111 wameshapatiwa chanjo ya homa ya mapafu.
...
Posted on: August 24th, 2025
Mkuu wa Jeshi la magereza wilayani Newala SSP Sauli Mayage, amewaongoza maafisa wa jeshi hilo kuchangia damu pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Newala ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa...
Posted on: August 20th, 2025
Mkuu wa Wilaya Newala Mhe. Mwangi Kundya amewataka wataalam wa mausala ya kilimo na fedha kuwaelimisha wakulima juu ya utunzaji na matumizi bora ya fedha wanazozipata baada ya kuuza mazao yao.
Mhe....